Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe akizungumza na uongozi wa Chama
cha Ngoma na Muziki wa Asili Tanzania (CHANGAMATA) wakati alipokutana
nao Ofisini kwake Mjini Dodoma kujadili masuala mbalimbali ya Sanaa za
Ngoma na Muziki Asili Tanzania Leo April 21, 2017.
Mwenyekiti wa Chama cha Ngomana
Muziki wa Asili Tanzania (CHANGAMATA) Wanne Salim Kutoka Kikundi cha
Wanne Star akieleza changamoto mbalimbali zinazowakabili wasanii wa
Ngoma na Muziki Asili kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe wakati walipomtembelea Ofisini kwake Mjini
Dodoma Leo April 21, 2017.
Katibu wa Chama cha Ngoma na
Muziki wa Asili Tanzania (CHANGAMATA) Richard Muro akifafanua jambo
kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison
Mwakyembe wakati walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma Leo April
21,2017.
Mmoja wa wasanii kutoka Chama cha
Ngoma na Muziki wa Asili Tanzania (CHANGAMATA) Zuhura Khatib
akimueleza jambo Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt
Harrison Mwakyembe wakati walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma Leo
April 21, 2017.
Mmoja wa wasanii kutoka Chama cha
Ngoma na Muziki wa Asili Tanzania (CHANGAMATA) Zuhura Khatib
akimueleza jambo Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt
Harrison Mwakyembe wakati walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma Leo
April 21, 2017.
Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM Dodoma.
No comments :
Post a Comment