Thursday, April 13, 2017

WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA UNUNUZI HISA ZA AWALI ZA VODACOM

IMG_8622
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Bi. Beng’i Issa akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu  umuhimu wa kununua hisa kwenye mkutano uliofanyika  katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango mkoani Dodoma.
C
Afisa Mawasiliano Mwandamizi  wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Bw. Edward Kessy, akitoa ufafanuzi wa namna ya kununua hisa hizo  kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye mkutano uliofanyika  katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango mkoani Dodoma.
C 1
Baadhi ya waandishi wa habari wakifatilia kwa makini maelezo ya Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Bi. Beng’I Issa (hayupo pichani) alipokuwa anatolea ufafanuzi kuhusu umuhimu wa kununua hisa kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango mkoani Dodoma.
S

(Piha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango)

No comments :

Post a Comment