Mkuu
wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akipanda mti wakati wa Kilele cha
Maadhimisho ya siku ya Upandaji Miti, kilichofanywa na Wilaya ya Ilala
katika shule ya Msingi, Yangeyange, Kata ya Msongola wilayani humo
mkoani Dar es Salaam. Wapili kulia ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo ya
Ilala Edward Mpogolo na Kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa wa Dar es
Salaam, Theresia Mbando
|
Mkuu
wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akipanda mti wakati wa Kilele cha
Maadhimisho ya siku ya Upandaji Miti, kilichofanywa na Wilaya ya Ilala
katika shule ya Msingi, Yangeyange, Kata ya Msongola wilayani humo
mkoani Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo ya
Ilala Edward Mpogolo |
|
Mkuu
wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akimwagilia maji baada ya kupanda mti
wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Upandaji Miti, kilichofanywa
na Wilaya ya Ilala katika shule ya Msingi, Yangeyange, Kata ya Msongola
wilayani humo mkoani Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Tawala wa Wilaya
hiyo ya Ilala Edward Mpogolo na Kulia ni Katibu Tawala wa mkoa wa Dar es
Salaam, Theresia Mbando |
|
Mkuu
wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akimwagilia maji baada ya kupanda mti
wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Upandaji Miti, kilichofanywa
na Wilaya ya Ilala katika shule ya Msingi, Yangeyange, Kata ya Msongola
wilayani humo mkoani Dar es Salaam. |
|
Kamishna
Mkuu Msaidizi wa Skauti anayeshughulika na Mazingira Amina Maulidi
akimvisha Skafu , Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema alipowasili
katika shughuli hiyo ya upandaji miti. ZIFUATAZO NI MFULULIZO WA MATUKIO
YALIYOJIRI WAKATI WA KILELE HICHO. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO |
Shar
No comments :
Post a Comment