Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika kikao na Viongozi wa
Shirikisho la Vyama vya
Wafanyakazi nchini (Trade Union Congress of Tanzania -TUCTA) Ikulu
jijini Dar es Salaam leo aprili 20, 2017.PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (Trade Union
Congress of Tanzania -TUCTA) mara baada ya kikao kilichofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam leo aprili 20, 2017. .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa TUCTA Bw. Tumaini
Nyamhokya mara baada ya kumaliza kikao na kupiga picha ya pamoja Ikulu
jijini Dar es Salaam leo aprili 20, 2017. .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na baadhi ya viongozi wa TUCTA
mara baada ya Kikao chao Ikulu jijini Dar es Salaam leo aprili 20,
2017. .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na baadhi ya viongozi wa TUCTA
mara baada ya Kikao chao Ikulu jijini Dar es Salaam leo aprili 20,
2017. .
No comments :
Post a Comment