Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa
Serikali, Mohamed Mtonga, akimkabidhi cheti mhitimu, Elizabeth Titus
Munthali, wakati wa sherehe ya maafali ya kwanza ya Taasisi ya Usimamizi
wa Vihatarishi Tanzania, iliyofanyika leo katika Jengo la kibiashara la
Haidary Plaza, jijini Dar es Salaam. Kulia kwa mgeni rasmi, ni Rais wa
Taasisi hiyo, Pius Maneno (kulia) ni Mkaguzi msaidizi Mkuu wa hesabu za
Serikali, Emmanuel Subi. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Taasisi hiyo,
Buyamba Buyamba.
Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani
Mkuu wa Serikali, Mohamed Mtonga, akimkabidhi cheti mhitimu, Honest
Amedeus Matem, wakati wa sherehe ya maafali ya kwanza ya Taasisi ya
Usimamizi wa Vihatarishi Tanzania, iliyofanyika leo katika Jengo la
kibiashara la Haidary Plaza, jijini Dar es Salaam. Kulia kwa mgeni
rasmi, ni Rais wa Taasisi hiyo, Pius Maneno (kulia) ni Mkaguzi msaidizi
Mkuu wa hesabu za Serikali, Emmanuel Subi. Kushoto ni Makamu wa Rais wa
Taasisi hiyo, Buyamba Buyamba.
Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani
Mkuu wa Serikali, Mohamed Mtonga, akimkabidhi cheti mhitimu, Annastacia
Mbunda, wakati wa sherehe ya maafali ya kwanza ya Taasisi ya Usimamizi
wa Vihatarishi Tanzania, iliyofanyika leo katika Jengo la kibiashara la
Haidary Plaza, jijini Dar es Salaam. Kulia kwa mgeni rasmi, ni Rais wa
Taasisi hiyo, Pius Maneno (kulia) ni Mkaguzi msaidizi Mkuu wa hesabu za
Serikali, Emmanuel Subi. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Taasisi hiyo,
Buyamba Buyamba. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO).
Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani
Mkuu wa Serikali, Mohamed Mtonga, akimkabidhi cheti mhitimu, Salim
Ngailo, wakati wa sherehe ya maafali ya kwanza ya Taasisi ya Usimamizi
wa Vihatarishi Tanzania, iliyofanyika leo katika Jengo la kibiashara la
Haidary Plaza, jijini Dar es Salaam. Kulia kwa mgeni rasmi, ni Rais wa
Taasisi hiyo, Pius Maneno (kulia) ni Mkaguzi msaidizi Mkuu wa hesabu za
Serikali, Emmanuel Subi. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Taasisi hiyo,
Buyamba Buyamba.
Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani
Mkuu wa Serikali, Mohamed Mtonga, akimkabidhi cheti mhitimu, Lauden
Cheyo, wakati wa sherehe ya maafali ya kwanza ya Taasisi ya Usimamizi wa
Vihatarishi Tanzania, iliyofanyika leo katika Jengo la kibiashara la
Haidary Plaza, jijini Dar es Salaam. Kulia kwa mgeni rasmi, ni Rais wa
Taasisi hiyo, Pius Maneno (kulia) ni Mkaguzi msaidizi Mkuu wa hesabu za
Serikali, Emmanuel Subi. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Taasisi hiyo,
Buyamba Buyamba.
Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani
Mkuu wa Serikali, Mohamed Mtonga, akimkabidhi cheti mhitimu, Charles
Peter Moshi, wakati wa sherehe ya maafali ya kwanza ya Taasisi ya
Usimamizi wa Vihatarishi Tanzania, iliyofanyika leo katika Jengo la
kibiashara la Haidary Plaza, jijini Dar es Salaam. Kulia kwa mgeni
rasmi, ni Rais wa Taasisi hiyo, Pius Maneno (kulia) ni Mkaguzi msaidizi
Mkuu wa hesabu za Serikali, Emmanuel Subi. Kushoto ni Makamu wa Rais wa
Taasisi hiyo, Buyamba Buyamba.
Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani
Mkuu wa Serikali, Mohamed Mtonga, akitoa hotuba yake wakati wa mahafali
hayo yaliyofanyika kwenye Jengo la Kibiashara la Haidary Plaza jijini
Dar es Salaam, leo.
Baadhi ya Wahitimu wakifuatilia Hotuba ya mgeni rasmi.
Makamu wa Rais wa Taasisi hiyo, Buyamba Buyamba.akizungumza wakati wa maafali hayo.
Meza Kuu.
Rais wa Taasisi ya Usimamizi wa Vihatarishi Tanzania, akisoma hotuba yake wakati wa maafali hayo.
Makamu wa Rais wa Taasisi hiyo, Buyamba Buyamba.akitoa neno la shukrani katika maafali hayo.
Sehemu ya ndugu na marafiki wa Wahitimu wakiwa katika maafali hayo.
Mtoa mada katika maafali hayo, Gabriel Mwero, akitoa mada.
Baadhi ya Wahitimu waliopokea vyeti katika mahafali hiyo,wakimsikiliza mgeni rasmi.
Mkaguzi Msaidizi Mkuu wa hesabu za Serikali, Emmanuel Subi, akitoa mada katika mahafali hiyo.
Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa
Serikali, Mohamed Mtonga, (kulia) akiteta jambo na Rais wa Taasisi hiyo
ya Usimamizi wa Vihatarishi, Pius Maneno, wakati wa hafla hiyo ya
maafali katika ukumbi wa Hydary Plaza.
Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Mohamed Mtonga, (waliokaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na wahitimu wa Taasisi hiyo
No comments :
Post a Comment