Dar es Salaam, Alhamisi Aprili 20, 2017;Mwanariadha
pekee wa Tanzania anayeshiriki mashindano ya London Marathon
yanayofanyika jijini London jumapili hii amewasili Uingereza tayari kwa
mashindano hayo ambayo yanayotarajiwa kushirikisha wanariadha mashuhuri
duniani.
Alphonce, ambaye ni Mtanzania
wa kwanza kushinda medali ya dhahabu katika mashindano maarufu ya
Standard Chartered Mumbai Marathon, anatarajiwa kuwapa wakati mgumu
manguli wa riadha ulimwenguni wanaoshiriki mbio hizi za London akiwemo
Muethiopia Kenenisa Bekela pamoja na wengine kutoka Ethiopia na Kenya.
Akiongeamudamfupikablayakupanda
Ndege kuelekeaUingereza,
Simbualisemaamejiandaakupambanakufanakuponakuhakikishakuwaananyakuamedalikwenyemashindanohayo.
“Nitapambanakwanguvuzanguzote.Ninakwenda London
nikijuawazikuwanaiwakilishanchiyangukwenyemashindanohayamakubwa.Nakwendakupeperushabenderaya
Tanzania” alisemasimbunakuongezakuwa “Nina
imaninitashindakwaninimefanyamazoeziyakutoshananinaarinamoyowakushinda.
Naombasalazawatanzaniawoteiliniwezekuletamedalinyumbani” AlisemaSimbu.
Ameishukurusanakampuniya
Multichoice Tanzania kupitiaKing’amuzi cha
DStvkwakumdhamininakuhakikishaanakaakambinikwamudawotehuobilashidayoyote.
“NawashukurusanaDStvkwaudhaminiwaomkubwawakambiyanguyamazoezipamojanamahitajiyangumenginekwakipindikirefusasa.
Kwakweliwaondiyowaliofanikishamaandaliziyangu”
Simbuamewashukurupiawadauwotewariadhahususan Chama Cha Riadha Tanzania
pamojanawizarainayohusikanamichezokwajitihadazaozakuahakikisha safari
yakeyakwenda London inafanikiwa.
MkurugenziMtendajiwa
Multichoice Tanzania Maharage Chande
amesemakuwawanaimanikubwasananaSimbukutokananamazoezialiyofanya.
“TunafurahisanakuwabaadayakuwekanguvukubwasasaSimbuanakwendakushirikimashindanohayaakiwaamejiandaavizuri.
Tunaaminiatashinda, napiahuunimwanzowandotoyetukubwa,
yakusikiakwamaraya kwanza wimbowetuwaTaifaukipigwakwenyemashindanoya
Olympic. Kwamwenendo wake, tunaaminSimbuatatufikishahuko” alisema
Maharage.
Multichoice Tanzania
inamdhaminiSimbukwamudawamwakamzimakwalengo la
kufanikishamaandaliziyakeyakushirikikatikamashindanoyaDuniayatakyofanyikajijini
London mweziwananemwakahuu. Udhaminihuuulianzatangumwaka 2016 ambapo
Multichoice
humpatiaAlphonceposhoyakujikimupamojanakusaidiakambiyakeyamazoezi.
AlphonceanatarajiwakuswasilinchinisikuyajumatatuAprili 24 saambiliasubuhikatikauwanjawa Ndege wa Kilimanjaro.
About Alphonce Felix Simbu;
Personal best: 2:09.21- Lake Biwa Marathon – Japan.
Born in Singida in 1992, AlphonceSimbu is a DStv ambassador and the latest Tanzanian International Gold Medallists.
2011:Alphonce was
selected to represent Tanzania in All Africa Games in Maputo Mozambique
after winning the 10,000m at National athletics Championship.
2012-2013: Alphonce trained and participated in different races as an invitee both within and outside Tanzania.
2014: He was selected to join the national team for commonwealth Games held in Glasgow Scotland
2015: Participated in World Cross-country Championships in Gyuiyaang China.
It was on 6th July 2015 when Alphonce participated in his First Marathon race in Gold Cost and scooped 6th
position recording a decent timing of 2:12.01.He then qualified for the
IAAF 2015 Beijing World Athletics Championships one of the toughest
races in the world. Against all odds, he emerged 12th. This gave him a global rating – the IAAF Gold label which qualified him for the 2016 Rio Olympic Games.
On 6th March 2016He was honoured an invitation for the Lake Biwa Marathonin Japangrabbing 3rd
position with a pleasant timing of 2:09.21. During the 2016: Rio
Olympic Games, Alphonce further enhanced his record by recording 2:11.05
and making Tanzania proud by clutching 5th position.
His dream of winning a gold
medal came true in 2017 when he won yet another highly contested
International Marathon – The Standard Chartered Mumbai Marathon while
reducing further his timing to 2:09:28!
NowAlphonceis a member of
Tanzania National Team for the 2017 London IAAF World Athletics
Championship to be held in London on 23rdAugust.
Association with DStv
In 2016 Multichoice
Tanzania through its DStv service decided to invest in Athletics by
sponsoring AlphonceSimbu in order to make sure he realise his dream of
becoming a Gold Medalist. The company entered into a contract to support
AlphonceSimbu for an initial period of one year to enable him to
prepare well for the 2017 IAAF World Athletic Championship.
Multichoice provideAlphonce
with subsistence allowance as well as financing his training. Currently
Multichoice is fully sponsoring his training for the preparation of the
upcoming London Marathon taking place on 23rd April 2017.
Multichoice Tanzania is supporting Alphonce as part of its Social Value Initiative of nurturing local talents.
For inquiries contact
No comments :
Post a Comment