Mkurugenzi kinga na elimu ya Afya
Zanzibar Dkt. Fadhil Mohammed Abdalla akitoa maelezo kwa wandishi wa
habari na kumkaribisha Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Bi. Harusi Said
Suleiman katika mkutano wake na wandi wa habari uliofanyika ukumbi wa
Wizara hiyo Mjini Unguja.
Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Bi.
Harusi Said Suleiman akitoa maelezo kwa wandishi wa habari kuhusu
mapambano zidi ya Kifua Kikuu katika ukumbi wa Wizara ya Afya.
Baadhi ya wandishi wa habari waliofika katika mkutano wa Naibu Wizara ya Afya wakifuatilia mkutano huo.
Mkuu wa kitengo cha Kifua Kikuu
(TB) Zanzibar Dkt. Khamis Abubakar Suleiman akijibu maswali yaliyoulizwa
na wandishi wa habari katika mkutano wao.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo
No comments :
Post a Comment