Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya
Dkt. Jamala Adam Taib akiwaeleza washiriki wa Kongamano la Kimataifa la
NED Historia na Maendeleo ya Hospitali Kuu ya Mnazimmoja pamoja na
kuanzishwa kituo cha NED mwaka 2015.
Rais wa Taasisi ya Maendeleo ya
Elimu inayohusiana na upasuaji wa mishipa ya fahamu, uti wa mgongo na
vichwa maji NED) Dkt. Hosea Piquer akitoa maelezo kwa washiriki wa
Kongamano la Kimataifa la madaktari wanaoshughulikia maradhi hayo kutoka
Afrika, Ulaya na Marekani.
Mratibu wa Kongamano la Kimataifa
la NED linalofanyika Hospitali Kuu ya Mnazimmoja Dkt. Mahmood Qureshi
akizungumza na washiriki wa Kongamano hilo.
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit
Kombo akifungua Kongamano la Kimataifa la siku tatu linalowashirikisha
madaktari wa maradhi ya mishipa ya fahamu, uti wa mgongo na vichwa maji
NED katika kituo cha maradhi hayo Hospitali Kuu ya Mnazimmoja Mjini
Zanzibar.
Kituo cha NED cha Hospitali Kuu
ya Mnazimmoja panapofanyika Kongamano la siku tatu la wataalamu wa
maradhi hayo kutoka mataifa tisa ya Afrika, Ulaya na Marekani.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
No comments :
Post a Comment