Kikosi cha timu ya taifa ya Burundi, tayari kipo nchini kwa ajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya Taifa Stars, Jumanne.
Mshambuliaji wa
Simba, Laudit Mavugo ameungana na kikosi hicho leo huku mshambuliaji wa
Yanga Amissi Tambwe, yeye ni majeruhi, hakuitwa katika kikosi hicho.
Mavugo atacheza dhidi
ya Stars Jumanne, huku akitarajiwa kuchuana na beki wa Simba, Abdi
Banda ambaye wanacheza kikosi kimoja, kama Kocha Salum Mayanga
atampanga.
No comments :
Post a Comment