Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Nakala ya Vitabu vya
Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha
unaoishia tarehe 30 Juni, 2016, kutoka kwa CAG Profesa Mussa Assad
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa
anapiga makofi pamoja na Katibu Mkuu Ikulu, Alphayo Kidata mara baada
ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
kupokea Ripoti hizo kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad mara baada ya kupokea
ripoti hizo za Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi pamoja na Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa pamoja na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Profesa Mussa Assad mara baada ya kupokea ripoti hizo Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa
na Katibu Mkuu wa Ikulu Alphayo Kidata pamoja na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu
za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli wakati akizungumza
mara baada ya kukabidhiwa Ripoti hizo kutoka kwa CAG Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad akizungumza kabla ya kuwasilisha
Ripoti hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kupokea
Ripoti hizo ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa
Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Maafisa kutoka katika Ofisi ya
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wakifatilia kwa makini wakati
wa uwasilishwaji wa Ripoti hizo Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA
IKULU
No comments :
Post a Comment