Daktari bingwa wa Upasuaji wa
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dkt. Ibrahim Mkoma akifafanua
jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu kuruhusiwa kwa mgonjwa
aliyekuwa anapatiwa matibabu kutokana na majeraha ya kuunguzwa na maji
ya moto kifuani, shingoni na mkononi, Bibi. Neema Mwita maarufu kama
mgonjwa wa Magufuli. Neema alikuwa akipatiwa matibabu katika hospitali
hiyo kufuatia msaada wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli baada ya kuguswa na taarifa za mgonjwa huyo mapema
mwezi wa pili mwaka huu hali iliyompelekea kuchukua jukumu la
kumsaidia.Mkuu wa Jengo la Sewahaji Bibi. Salome Mayenga (kushoto) na
Mkuu wa Wodi namba 24 Sewahaji, Muhimbili Bibi. Georgina Kabaitileki.
Daktari bingwa wa Upasuaji wa
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dkt. Ibrahim Mkoma akifafanua
jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu kuruhusiwa kwa mgonjwa
aliyekuwa anapatiwa matibabu kutokana na majeraha ya kuunguzwa na maji
ya moto kifuani, shingoni na mkononi, Bibi. Neema Mwita maarufu kama
mgonjwa wa Magufuli. Neema alikuwa akipatiwa matibabu katika hospitali
hiyo kufuatia msaada wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli baada ya kuguswa na taarifa za mgonjwa huyo mapema
mwezi wa pili mwaka huu hali iliyompelekea kuchukua jukumu la kumsaidia.
Mkazi wa mkoa wa Mara ambaye
alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya
matibabu ya upasuaji wa mgonjwa kufuatia majeraha ya kuunguzwa na maji
ya moto kifuani, shingoni na mkononi,Bibi. Neema Mwita akimshukuru Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo
pichani) kwa kitendo chake cha kumfariji na kumsaidia kupata matibabu ya
hayo wakati akiongea na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam.
Daktari bingwa wa Upasuaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH),
Dkt. Ibrahim Mkoma.
Picha na: Frank Shija – MAELEZO.
No comments :
Post a Comment