Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa
wa Mjini Magharibi Mhe. Ayoub Mohamed Mahamoud alipowasili katika
viwanja vya ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi mnazi mmoja mjini
unguja katika mkutano maalum wa walimu wa skuli za sekondari za unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Riziki Pembe Juma alipowasili katika
viwanja vya ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi mnazi mmoja mjini
unguja katika mkutano maalum wa walimu wa skuli za sekondari za unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Elimu
na Mafunzo ya Amali Mhe. Riziki Pembe Juma pamoja na Viongozi wengine
alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi
mnazi mmoja Mjini Unguja katika mkutano maalum wa Walimu wa Skuli za
Sekondari za Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali
mbali wa Serikali alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Zamani wa
Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja katika mkutano maalum wa
walimu wa skuli za Sekondari za unguja.
Baadhi ya Walimu wa skuli za
Sekondari za Unguja wakiwa katika mkutano wa pamoja na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika
leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini
Unguja.
Baadhi ya Walimu wa Skuli za
Sekondari za Unguja wa Mikoa Mitatu ya Unguja wakiwa katika mkutano wa
pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali
Mohamed Shein, uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la
zamani Kikwajuni Mjini Unguja.
Viongozi mbali mbali wa Serikali
wakiwa katika mkutano maalum wa walimu wa skuli za Sekondari za Unguja,
uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani
Kikwajuni Mjini Zanzibar mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.
Baadhi ya Watendaji mbali mbali
wakiwa katika mkutano maalum wa walimu wa Skuli za Sekondari za Unguja,
uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani
Kikwajuni Mjini Unguja,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.[Picha na
Ikulu.] 28/03/2017.
No comments :
Post a Comment