Kamati ya Bunge ya Huduma na
Maendeleo ya Jamii pamoja na Waziri, Naibu Waziri na watendaji wakuu wa
Wizara na Taasisi zilizo chini yaWizara ya Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo wakijadili Bajeti ya Wizara hiyo Mjini Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya
Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Mussa Azzan Zungu akizungumza
katika kikao cha kujadili Bajeti ya Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Mjini Dodoma.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe akifafanua jambo mbele ya Kamati
ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakati wa kikao cha kujadili
Bajeti ya Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mjini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akieleza juu ya
mikakati ya Wizara katika kushirikisha Sekta binafsi katika kuleta
maendeleo katika Sekta za Wizara wakati wa kikao cha kuijadili Bajeti ya
Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mjini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya
Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakifuatilia hoja mbalimbali
wakati wa kikao cha kujadili Bajeti ya Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mjini Dodoma.
Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM Dodoma
No comments :
Post a Comment