Naibu
Waziri wa ArdhiNyumba na Maendeleo ya Makazi Mh Angelina Mabulla
Akifafanua Namna Fomu ya Umiliki Ardhi inavyo tumika ili kupata taarifa
za awali za Mwananchi anaye andaliwa Hati ya Kumiliki Ardhi mbele ya
Wajumbe wa kamati ya Bunge Ardhi Maliasili na Mazingira na
Wananchikatika kijiji cha Mikoleko Wilaya ya Kilombero- Morogoro
Mratibu
wa Mradi wa Kuwezesha Umilikishaji wa Ardhi Godfrey Machabe akisoma
Ripoti ya maendeleo ya mradi huo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Ardhi Maliasili na Mazingira wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya Mradi
huo Wilayani Kilombero-Morogoro
Mwenyekiti
wa kijiji cha MikolekoWilaya ya kilomberoakielezea ushiriki wa
Wanakijiji katika zoezi la kumilikisha ardhi ndani ya kijiji hicho Mbele
ya Wajumbe wa kamati ya Bunge Ardhi, Maliasili na Mazingira.
No comments :
Post a Comment