Wednesday, March 29, 2017

Dkt Mwakyembe akabidhi rasmi Ofisi kwa Prof. Paramagamba Kabudi


par1
Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison
Mwakyembe akimkabidhi Taarifa Waziri wa Katiba na Sheria Prof.
Palamagamba Kabudi katika makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika Makao
Makuu ya Wizara yaliyoko Chuo Kikuu cha Dodoma mjini Dodoma.
par2
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt
Harrison Mwakyembe aliyesimama akizungumza katika hafla ya kukabidhi
Ofisi kwa Waziri Katiba na Sheria Prof Palamagamba Kabudi (aliyekaa
kulia kwake) na kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Katiba na ufuatiliaji
Haki Wizarani Bw. Patience Ntwina.
par3
 Naibu Katibu Mkuu Bw. Amon Mpanju (aliesimama)
akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya Ofisi katika ya  Waziri
Katiba na Sheria Prof Palamagamba Kabudi (kushoto kwake) na Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe aliekaa
kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Wizarani Bw.
Aloyce Mwogofu.
par4 par5
 Baadhi ya watumishi wa Wizara wakishuhudia makabidhiano hayo ya
ofisi yalipofanyika Wizarani kati ya Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe na  Waziri Katiba na Sheria
Prof Palamagamba Kabudi
par7
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt
Harrison Mwakyembe akisaini kitabu cha wageni
par8
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt
Harrison Mwakyembe akizungumza mara baada ya kukabidhi ofisi.

No comments :

Post a Comment