Baadhi ya watumishi wakiangalia
gari la Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambalo limebeba vifaa vya
ofisi vya kundi la kwanza la watumishi wa Wizara hiyo wanaohamia mjini
Dodoma leo
Waziri wa Maliasili na Utalii,
Prof. Jumanne Maghembe (kulia) na baadhi ya watumishi wakiaga msafara
wa kundi la kwanza la watumishi wa Wizara hiyo wanaohamia mjini Dodoma
leo
No comments :
Post a Comment