Saturday, February 11, 2017

SPIKA WA BUNGE ASHIRIKIANA NA WAZIRI MKUU KUZINDUA MTANDAO WA TTCL WA 4G MJINI DODOMA

SHR
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Bw. Waziri Kindamba aliyemtembelea ofisini kwake Mjini Dodoma mapema leo.
 SHR 1
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa pamoja na Spika wa Bunge Mhe Job Ndungai na Viongozi wa Viwara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wakizindua Mtandao wa TTCL wa 4G mapema leo katika wiwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
 SHR 2

 SHR 3
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa katika picha ya pamoja na na Spika wa Bunge Mhe Job Ndungai na Viongozi wa Viwara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano mara baada ya kuzindua Mtandao wa TTCL wa 4G mapema leo katika wiwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
(Picha na Ofisi ya Bunge)

No comments :

Post a Comment