Mwakilishi
wa Timu ya Wataalamu wa Afya kutoka China nchini Tanzania , Bwana Song
Tao ametoa msaada wa Sh 100,000 kwa Neema Wambura (32) mkazi wa Kijiji
cha Kyagata wilayani Tarime mkoani Mara ambaye amelazwa katika Hospitali
ya Taifa Muhimbil. Neema amelazwa katika hospitali hiyo baada kumwagiwa
uji wa moto na mume wake. Jana Rais John Pombe Magufuli alimpatia
sh500,000 na kuahidi kumpatia hifadhi pamoja na watoto wake watatu.
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment