Katibu Mkuu, Ofisi ya
Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Laurean
Ndumbaro akitoa neno la utangulizi wakati wa uzinduzi wa Tovuti ya
Watumishi (Watumishi Portal) mkoani Dodoma leo. Kulia kwake ni Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) na Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera
Ofisi ya Rais – UTUMISHI, Bw. Mathias Kabunduguru.
Katibu Mkuu, Ofisi ya
Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Laurean
Ndumbaro akimkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb)
kuzungumza na watumishi waliohudhuria uzinduzi wa Tovuti ya Watumishi
(Watumishi Portal) mkoani Dodoma leo.
Baadhi ya watumishi wa umma
wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (Hayupo pichani)
wakati wa uzinduzi wa Tovuti ya Watumishi (Watumishi Portal) mkoani
Dodoma leo.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J.
Kairuki (Mb) akizungumza na baadhi ya watumishi wa umma waliohudhuria
uzinduzi wa Tovuti ya Watumishi (Watumishi Portal) mkoani Dodoma leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J.
Kairuki (Mb) akiwasisitiza watumishi wa umma nchini kutumia Tovuti ya
Watumishi (Watumishi Portal) alipokuwa akizindua Tovuti hiyo mkoani
Dodoma leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J.
Kairuki (Mb) akiwa tayari kuzindua Tovuti ya Watumishi (Watumishi
Portal) mkoani Dodoma leo. Kushoto kwake anayeshuhudia ni Naibu Waziri
wa Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Mhe. Mhandisi Stella
Manyanya (Mb).
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J.
Kairuki (Mb) pamoja na Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu, Sayansi,
Teknolojia na Ufundi, Mhe. Mhandisi Stella Manyanya (Mb) wakifurahia
uzinduzi wa Tovuti ya Watumishi (Watumishi Portal) mkoani Dodoma leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J.
Kairuki (Mb) akifuatilia maelezo kuhusu Tovuti ya Watumishi (Watumishi
Portal) baada ya kuizindua rasmi mkoani Dodoma leo. Kulia kwake ni Naibu
Waziri wa Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Mhe. Mhandisi
Stella Manyanya (Mb) na kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Wizara ya
Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Mhe. Anastazia Wambura (Mb) na
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Dkt. Laurean Ndumbaro.
James K. Mwanamyoto,
Afisa Habari,
Ofisi ya Rais-Utumishi,
No comments :
Post a Comment