RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA GHANA MH. NANA ADDO AKUFO MJINI ADDIS ABABA, ETHIOPIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya
Ghana Mhe. Nana Addo Dankwa Akufo katika Uwanja wa Kimataifa wa Bole
Mjini Addis Ababa Ethiopia muda mfupi kabla ya kuondoka nchini humo
alikokuwa akihudhuri Mkutano wa 28 wa wakuu wa nchi wanachama wa Umoja
wa Afrika (AU) uliomalizika jana. Mhe. Rais Nana Addo ameahidi
kuendeleza na kuimarisha zaidi ushirikiano na uhusiano kati ya nchi yake
na Tanzania na amekubali mwaliko wa Mhe. Rais Magufuli wa kuitembelea
Tanzania
No comments :
Post a Comment