Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Katibu wa
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC), Siasa na Mahusiano ya
Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga, alipomtembelea kujadili
masuala mbalimbali yaliyohusiana na utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi
Mkuu uliopita. Mazungumzo hayo yamefanyika ofisini kwa Naibu Waziri,
jijini Dar es Salaam.Katikati ni msaidizi wa Katibu huyo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Katibu wa Halmashauri Kuu ya
Chama cha Mapinduzi (NEC), Siasa na Mahusiano ya Kimataifa, Kanali
Mstaafu Ngemela Lubinga,akizungumza na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni wakati wa mazungumzo mbalimbali
yaliyohusiana na utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi Mkuu
uliopita.Mazungumzi hayo yamefanyika ofisini kwa Naibu Waziri,jijini Dar
es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akifafanua jambo kwa Katibu
wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC), Siasa na mahusiano ya
Kimataifa,Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga, alipomtembelea kujadili
masuala mbalimbali yaliyohusiana na utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi
Mkuu uliopita.Mazungumzi hayo yamefanyika ofisini kwa Naibu
Waziri,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
No comments :
Post a Comment