Mkuu
wa mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gamboakizungumza na watumishi katika
wilaya ya Monduli ,alipofanya ziara ya kukagua maendeleo katika
halmashauri hiyo,aliyeko pembeni yake ni mkuu
wa wilaya Monduli Idd Kimanta.
wa wilaya Monduli Idd Kimanta.
picha na Vero Ignatus
Blog.
Blog.
Mkuu
wa mkoa akipokea kadi ya CHF wilaya ya Monduli kutoka kwa mkuu wa
wilaya hiyo Idd Kimanta,ili kuhamasisha wananchi kujiunga na mfuko huo.
Baadhi ya watumishi katika halmashauri ya wilaya ya momduli wakifuatilia yaliyokuwa yanaendelea kwa makini.
Mkutano unaendele wadau pamoja na watumishi wa wa
halmashauri hiyo wakifuatilia yale yanayoendelea.Picha na Vero Ignatus
Blog

Na.Vero Ignatus, Monduli.
Halmashauri ya wilaya ya Monduli imeendelea kuungana na
vyombo vya ulinzi na usalama na wananchi katika kupiga vita dhidi ya

madawa ya kulevya
Hayo
yamebainika katika taarifa iliyosomwa mkurugenzi wa halmashauri hiyo
Steven Ulaya kwa mkuu wa mkoa Mrisho Mashaka
Gambo, alipofanya ziara ya kukagua maendeleo katika
halmashauri hiyo ambapo taarifa hiyo imesema kuwa Mirungi
imekuwa ikiingizwa kutoka nchi ya jirani ya Kenya kupitia mpaka wa
Namanga.

Ripoti
hiyo imeendelea kusema kuwa jeshi la polisi lilefanya operesheni
maalum na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu madhara ya madawa
hayo,ambapo takwimu za mwaka 2016 hadi januari 2017 kesi za
bhangi 11 dhidi ya 8 mwaka 2015 na mirungi ni kesi 12 kwa mwaka
2016 dhidi ya 10
Aidha
ripoti hiyo imeonyesha kuwa halmashauri inaendelea na zoezo la
uhakiki wa watumishi hewa limewabaini 24 ambapo kiasi cha
shilingi 54,798,300 kilihojiwa kwa watumishi hao,kiasi
cha shilingi 32,988,963.19 kilirejeshwa hazina baada ya kuzuia
mishahara ilitolewa na baadhi ya watumishi walirejesha fedha hizo
walionufaika nazo ambapo makato ya mishahara kiasi cha shilingi
21,809,336.81 yaliyokuwa yanalipwa moja kwa moja na wizara ya
fedha ikiwa ni kodi ya mishahara ya watumishi husika na makato ya
mifuko ya pensheni tayari mfuko umeandikiwa barua za kurejesha fedha
hizo .

Sambamba
na hayo halmashauri hiyo ina jumla ya watumishi 1,867 sawa na asilimia
71.3 ya mahitaji halisi ya watumishi 2,615,ikiwana upungufu wa
watumishi 723 katika mchanganuo ufuatao :Idara ya elimu ya msingi
walimu 191,elimu ya sekondari (walimu wa sayansi 54)Mmaendeleoa jamii
watumishi 18,Utawala (watendaji wa vijiji na kata 20)Kilimo (watumishi
25)Mifungo (watumishi(21)Afya watumishi 391.

Wilaya
ina jumla ya watumishi 295 wa sekta ya Afya ambapo ni sawa na asilimia
43 tu ya mahitaji ya watumishi wote 686,upungufu mkubwa upo katika
kada ya Tabibu,wauguzi,wateknolojia ,,mahabara,Dawa na Daktari
wasaidizi.
Ripotiina jumla ya watumishi 295 wa sekta ya Afya ambapo ni sawa na asilimia
43 tu ya mahitaji ya watumishi wote 686,upungufu mkubwa upo katika
kada ya Tabibu,wauguzi,wateknolojia ,,mahabara,Dawa na Daktari
wasaidizi.
hiyo inaonyesha kuwa mapato ya halmashauri hiyo kwa mwaka 2016/2017
imekasimia kukusanya jumla ya shilingi 2,457,310,003 kutoka katika
mapato ya ndani hadi kufikia januari 2017,halmashauri iliuwa
imekusanya jumla ya shilingi 1,120,7147,542.32 sawa na 46% makisio ya
mwaka mzima
Ikumbukwe
kuwa Wilaya ya Monduli miezi ya hivi karibuni ilipatwa na
matukio 4 kuungua moto kwa badhi ya mabweni na shule za
sekondari 1.Lowassa Sekondari tarehe 27/01/2016 na 31/7/2016,Nanja
Sekondari tarehe 2/8/2016 na Ole Sokoine Sekondari tarehe 11/8/2016
ambapo matukio haya ya moto yalileta athari kubwa kwa jamii ikiwemo
baadhi ya wanafunzi kurejeshwa majumbani kwa muda kwa mahitaji ya
shule .
No comments :
Post a Comment