Baadhi ya washiriki wa
Maadhimisho ya Ndani ya Mikaka 40 ya CCM yaliyoandaliwa na CCM mkoa wa
Dodoma wakimpungia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasalimia kwenye Kituo cha Mikutano
cha Dodoma (DODOMA CONVENTION CENTER), Februari 5, 2017.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya
Taifa ya CCM, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwasalimia wana CCM
walioshiriki katika Maadhimisho ya Ndani ya Miaka 40 ya CCM
yaliyoandaliwa na Mkoa wa Dodoma kwenye Kituo cha Mikutano cha Dodoma
(Dodoma Convention Center) Februari 5, 2017.
Mjumbe Halmashauri Kuu ya
Taifa ya CCM, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu
Mstaafu, Mizengo Pinda kwenye Kituo cha Mikutano cha Dodoma Dodoma
convetion Center) , Februari 5, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Anne Kilango, Mbunge wa Kuteuliwa na Mke wa Waziri Mkuu
Mstaafu John Malecela (katikati) katika Maadhimisho ya Miaka 40 ya CCM
yaliyofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Dodoma (DODOMA CONVETION
CENTER) Februari 5, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment