| Leo
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, anayeshughulikia Siasa
na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga amezuru kituo
cha Radio cha CCM, Uhuru FM, mtaa wa Lukoma, jijini Dar es Salaam, na
kuzungumza na uongozi baada ya kuona baadhi ya shughuli zinavyofanyika
kwenye kituo hicho. Pichani Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru FM, Angel
Akilimali akimpatia maelezo. Na ziafuatazo ni picha mbalimbali Ngemela
akiwa kwenye kituo hicho cha Radio. Picha zote kwa hisani ya Uhuru FM |
No comments :
Post a Comment