| Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Aziz P. Mlima, akifungua
Mkutano cha Makatibu Wakuu nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini
mwa Afrika (SADC) ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano wa Kamati
Ndogo ya Mawaziri ya Siasa na Diplomasia ya SADC (Inter State Politics
and Diplomacy Sub Committee-ISPDC) unaotarajiwa kufanyika tarehe 23 na
24 Februari, 2017. Mkutano wa Makatibu Wakuu unafanyika kwa siku mbili
katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es
Salaam. |
No comments :
Post a Comment