Bw. Prashant Shukla Mkuu wa
Biashara ya TATA Africa Holdings Tanzania Limited pamoja na Bw.Rudrarup
Maitra Mkuu wa CVIB TATA Morors Limited wakikata utepea kuashiria
uzinduzi wa basi jipya aina ya TATA Ultra na Roli Dogo aina ya TATA
Ultra yaliyoundwa na kampuni hiyo ya India na kuingizwa sokoni, Magari
hayo yameundwa na kutengenezwa katika ubora wa kuhimili hali yoyote na
yanaweza kufanya kazi katika nchi za mabara ya Asia, Ulaya , Africa , na
kwingineko, Uzinduzi huo umefanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar
es salaam.
Viongozi hao wa kampuni ya TATA
Africa Holdings Tanzania limited wakipiga picha ya pamoja mara baada ya
kuzindua magari hayo kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
Basi la TATA Ultra linavyoonekana kwa ndani.
Bw. Prashant Shukla Mkuu wa
Biashara ya TATA Africa Holdings Tanzania Limited akizungumza na
waandishi wa habari katika uzinduzi huo uliofanyika kwenye hoteli ya
Serena jijini Dar es salaam.
Kutoka kulia ni Meneja wa CVIB
TATA Motors Limited kwa ukanda wa Kusini na Mashariki, Bw. Rudrarup
Maitra Mkuu wa CVIB TATA Morors Limited , Bw. Niraj Srivanstava Mkuu wa
Usambazaji Kimataifa TATA International Limited na Bw. Naresh Leekha
Mkuu wa TATA Africa Holdings Tanzania Limited Ukanda wa Afrika Mashariki
wakijibu maswali mbalimbali yaliyoulizwa na waandishi wa habari.
Bw. Naresh Leekha Mkuu wa TATA
Africa Holdings Tanzania Limited Ukanda wa Afrika Mashariki akifafanua
baadhi ya maswali mbalimbali yaliyoulizwa na waandishi wa habari.
Bw. Naresh Leekha Mkuu wa TATA
Africa Holdings Tanzania Limited Ukanda wa Afrika Mashariki akifafanua
baadhi ya maswali mbalimbali yaliyoulizwa na waandishi wa habari, kulia
ni Bw. Niraj Srivanstava Mkuu wa Usambazaji Kimataifa TATA
International Limited
Bw. John Bukuku Mkurugenzi wa
Mtandao huu akiuliza moja ya swali kuhusu ubora wa magari ya TATA Ultra
yaliyozinduliwa na kampuni hiyo jijini Dar es salaam katika uzinduzi
huo.
Bw.Rudrarup Maitra Mkuu wa CVIB
TATA Morors Limited akifafanua baadhi ya mambo katika uzinduzi huo
kushoto ni Bw. Niraj Srivanstava Mkuu wa Usambazaji Kimataifa TATA
International Limited.
Bw. Niraj Srivanstava Mkuu wa
Usambazaji Kimataifa TATA International Limited akitolea ufafanuzi
moja ya maswali yaliyoulizwa na waandishi wa habari.
Kikundi cha Ngoma kikitumbuiza katika uzinduzi huo.
No comments :
Post a Comment