Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na
viongozi mara alipowasili katika viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni Mjini
Magharibi Unguja leo katika hafla ya chakula maalum kwa Vijana
walioshiriki Halaiki ya sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na
viongozi mara alipowasili katika viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni Mjini
Magharibi Unguja leo katika hafla ya chakula maalum kwa Vijana
walioshiriki Halaiki ya sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar
Baadhi ya Viongozi walioshiriki
katika hafla ya chakula cha mchana alichokiaandaa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa Vijana wa halaiki walioshiriki
katika sherehe za Mapinduzi ya mwaka 2017kutimiza miaka 53 katika
viwanja wa Kambi ya KVZ Mkoa wa Magharibi Unguja leo.
Wakufunzi wa Vijana
walioshiriki halaiki wakiimba wimbo maalum wakati wa hafla ya chakula
cha mchana alichokiaandaa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi kwa Vijana wa halaiki walioshiriki katika sherehe za Mapinduzi
ya mwaka 2017 kutimiza miaka 53 katika viwanja wa Kambi ya KVZ Mkoa wa
Magharibi Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiteta na Katibu
wa Uhamasishaji Ali Mohamed Baraka (Shasha)(wa pili kulia) akiwepo Spika
wa Baraza la Wawakilishi Mhe,Zubeir Ali Maulid (kulia) na Makamo wa
Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Waziri wa nchi
Ofisi ya rais tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ
Haji Omar Kheir, wakati wa hafla maalum ya chakula alichowaandalia
Vijana walioshiriki katika Halaiki ya sherehe za maadhimisho ya miaka 53
ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar iliyofanyika leo katika viwanja Kambi
ya KVZ Mkoa wa Magharibi Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati ) akitia chakula
wakati wa hafla maalum ya chakula aliyowaandalia Vijana walioshiriki
katika Halaiki ya sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar iliyofanyika leo katika viwanja vya kambi ya KVZ
Mkoa Magharibi Unguja.
Baadhi ya Viongozi walioshiriki
katika hafla ya chakula cha mchana alichokiaandaa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa Vijana wa halaiki walioshiriki
katika sherehe za Mapinduzi ya mwaka 2016 kutimiza miaka 53 katika
viwanja wa Kambi ya KVZ Mkoa Magharibi Unguja iliyofanyika leo.
Baadhi ya Wakufunzi wakichukua
Chakula kilichoandaliwa kwa Vijana walioshiriki katika halaiki ya
maadhimisho ya Sherehe za Miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
hafla hiyo iliyoandaliwa kwa ajili yao na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja
vya Kambi ya KVZ Mtoni Mkoa wa Magharibi Unguja leo.
Baadhi ya Vijana walioshiriki
katika halaiki ya maadhimisho ya Sherehe za Miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar wakiwa katka hafla ya Chakula katika hafla ya
kilichoandaliwa kwa ajili yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya kambi ya KVZ Mtoni Mkoa Mjini Magharibi Unguja leo.
Baadhi ya Vijana walioshiriki
katika halaiki ya maadhimisho ya Sherehe za Miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar wakichukua Chakula katika hafla ya iliyoandaliwa
kwa ajili yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya kambi ya KVZ Mtoni Mkoa Mjini Magharibi Unguja leo.

Hawa ni miongoni mwa Vijana
walioshiriki katika halaiki ya maadhimisho ya Sherehe za Miaka 53 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakiwa katika hafla ya chakula
kilichondaliwa kwa ajili yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya kambi ya KVZ Mtoni
Mkoa Mjini Magharibi Unguja leo.
No comments :
Post a Comment