Balozi wa Ujerumani Nchini
Tanzania, Egon Kochanke akipewa maelezo na Mchoraji wa picha, Bw.
Douglas Kahabuka katika Maonyesho ya kitalii ya kazi za sanaa na
uvumbuzi wa kitaalamu juu ya Watanganyika waliokuwa wakipambana na
Utawala wa Wajerumani, Onyesho hilo limepewa jina la ‘Kuishi Ndani ya
Simulizi’ linahusisha vitu, michoro, picha za kuchora, filamu, vifaa na
utafiti yaliyofanyika jana mjini Songea katika Jumba la Makumbusho ya
vita vya Majimaji mjini Songea. Wengine ni Chifu wa kabila la Wangoni,
Emmanuel Zulu akiwa pamoja na viongozi wenzake wa kabila la wangoni.
Balozi wa Ujerumani Nchini
Tanzania, Egon Kochanke (kushoto) akiwa na Chifu wa Kabila la Wangoni,
Emannuel Zulu ( wa kwanza kulia) akizungumza mara baada ya kupata
maelezo kwa Mchoraji wa picha, Bw.Douglas Kahabuka (katikati) katika
Maonyesho ya kitalii ya kazi za sanaa na uvumbuzi wa kitaalamu juu ya
Watanganyika waliokuwa wakipambana na Utawala wa Wajerumani, Onyesho
hilo limepewa jina la ‘Kuishi Ndani ya Simulizi’ linahusisha vitu,
michoro, picha za kuchora, filamu, vifaa na utafiti yaliyofanyika jana
mjini Songea katika Jumba la Makumbusho ya vita vya Majimaji. Wengine
ni Chifu wa kabila la Wangoni, Emmanuel Zulu akiwa pamoja na viongozi
wenzake wa kabila la wangoni.
Mtaalamu wa Tafiti za Historia,
Lili Reyels (kulia) akimueleza Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania,
Egon Kochanke ( wa tatu kushoto) ,kuhusiana na Maonyesho ya kitalii ya
kazi za sanaa na uvumbuzi wa kitaalamu juu ya Watanganyika waliokuwa
wakipambana na Utawala wa Wajerumani, Onyesho hilo limepewa jina la
‘Kuishi Ndani ya Simulizi’ linahusisha vitu, michoro, picha za kuchora,
filamu, vifaa na utafiti yaliyofanyika jana mjini Songea katika Jumba la
Makumbusho ya vita vya Majimaji. Wengine ni Chifu wa kabila la Wangoni,
Emmanuel Zulu ( wa pili kulia) akiwa pamoja na viongozi wa Mila ya
wangoni.
Balozi wa Ujerumani Nchini
Tanzania, Egon Kochanke (kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi
ya viongozi wa kabila la wangoni huku wakipeana mikono na Chifu wa
Kabila la Wangoni, Emannuel Zulu (kushoto) mara baada ya kuzindua
Maonyesho ya kitalii ya kazi za sanaa na uvumbuzi wa kitaalamu juu ya
Watanganyika waliokuwa wakipambana na Utawala wa Wajerumani, Onyesho
hilo limepewa jina la ‘Kuishi Ndani ya Simulizi’ linahusisha vitu,
michoro, picha za kuchora, filamu, vifaa na utafiti yaliyofanyika jana
mjini Songea katika Jumba la Makumbusho ya vita vya Majimaji. Wengine
ni watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii.
No comments :
Post a Comment