|
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura
(wa tatu kutka kushoto mwenye kikoi shingoni ) akizindua rasmi
mazoezi ya viungo kwa mkoa wa Iringa kama agizo la serikali kila
jumamosi ya pili ya ya mwezi wananchi wote kushiriki mazoezi ,kushoto
kwake ni mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto na kulia ni mbunge wa viti
maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati (CCM) akifuatiwa na mkuu wa mkoa wa
Iringa Amina Masenza (PICHA ZOTE NA MATUKIODAIMABLOG |
Katibu tawala wa mkoa wa Iringa
Wamoja Ayub kulia akifurahia mazoezi kulia kwake ni mbunge Mwamoto
na mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza
Afisa habari Manispaa ya Iringa Sima Bingieki wa kwanza kushoto akishiriki mazoezi leo uwanja wa samora
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura wa pili kulia akifurahia mazoezi na mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Maasenza wa kwanza kulia
|
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura wa tatu kushoto na viongozi mbali mbali wakiongozwa kufanya mazoezi na Dc Iringa Richard Kasesela |
|
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura
kulia akifanya mazoezi ya viungo na mbunge wa viti maalum mkoa wa
Iringa Ritta Kabati katika uwanja wa samora Iringa leo |
|
Watumishi ofisi ya mkuu wa Mkoa na RPC Iringa wakiwa katika mazoezi |
|
Baadhi ya wananchi wa mji wa Iringa wakiwa katika mazoezi leo kutoka uwanja wa samora kuelekea ofisi ya RC Iringa |
|
Hivi ndivyo wananchi walivyoshiriki mazoezi Iringa |
|
Wananchi walioshiriki mazoezi wakiwasili ofisi ya RC Iringa wakitokea Samora |
|
Wananchi na viongozi walioshiriki mazoezi wakiingia viwanja vya RC Iringa |
|
Kila mmoja afurahia mazoezi |
|
Mazoezi kwa afya |
|
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura
wa tatu kushoto na viongozi mbali mbali wakiongozwa kufanya mazoezi
na Dc Iringa Richard Kasesela,wa kwanza kushoto ni mkuu wa mkoa
Iringa Amina Masenza ,mbunge wa viti wa maalum mkoa wa Iringa Ritta
Kabati ,mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto na katibu tawala mkoa wa
Iringa wamoja Ayub |
|
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura
akipongeza wananchi kwa kuitikia mazoezi ,katikati ni mkuu wa mkoa
wa Iringa Amina Masenza na mkuu wa wilaya Iringa Richard Kasesela |
|
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura mwenye kikoi shingoni akiongoza mazoezi Iringa leo |
|
Mazoezi ya viungo kwa afya yakiendelea |
|
Ni Full mazoezi Iringa |
Shar
No comments :
Post a Comment