Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa
Umoja wa Mataifa Antonio Manuel Olveira Guterres wakati alipokuwa kwenye
mojawapo ya vikao vya Umoja wa Afrika (AU) vinavyofanyika katika Makao
makuu yake mjini Addis Ababa nchini Ethipia. Kulia ni Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Kenya
Uhuru Kenyatta wakati alipokuwa kwenye mojawapo ya vikao vya Umoja wa
Afrika (AU) vinavyofanyika katika Makao makuu yake mjini Addis Ababa
nchini Ethipia. PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment