Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani (kulia) akionesha moja ya fomu
zinazotumika katika Uchaguzi wakati akifanya mahojiano na Mtangazaji
Mwandamizi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Shaban Kissu.
Mtangazaji Mwandamizi wa Shirika
la Utangazaji Tanzania (TBC) Shaban Kissu (kushoto) akifanya mahojiano
na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima
Ramadhani.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani (kulia) akifafanua jambo.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani (kulia) akiwa katika picha ya
pamoja na Mtangazaji Mwandamizi wa TBC, sHaban Kissu.
Picha na Hussein Makame, NEC
No comments :
Post a Comment