Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Mgombea Ubunge Jimbo
la Dimani Juma Ali Juma wakati alipowasili katika Viwanja vya Mpira
Fuoni Mjini Magharibi katika Ufungaji wa Kampeni za CCM za Uchaguzi
mdogo wa Ubunge Jimbo hilo leo.
Mke wa
Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Spika wa Baraza
la Wawakilishi Zubeir Ali Maulid wakati alipowasili katika Viwanja vya
Mpira Fuoni Mjini Magharibi katika Ufungaji wa Kampeni za CCM za
Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Dimani zilizofanyika leo.
Baadhi ya
Wanachama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Dimani wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar alipokuwa akizungumza katika ufungaji
wa Kampeni za CCM za Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo Dimani leo katika
uwanja wa Mpira Fuoni Mkoa wa Mjini Magharibi .
Maelfu
ya Wanachama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Dimani wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar alipokuwa akizungumza nao leo katika
ufungaji wa Kampeni za CCM za Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo Dimani
katika uwanja wa Mpira Fuoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
Wanachama
wa Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Dimani wakinyanyua mikono juu
kuunga mkono Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
alipokuwa akizungumza katika ufungaji wa Kampeni za CCM za Uchaguzi
mdogo wa Ubunge Jimbo Dimani leo katika uwanja wa Mpira Fuoni Mkoa wa
Mjini Magharibi.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar alipokuwa akizungumza na Wanachama wa
Chama cha Mapinduzi CCM katika ufungaji wa Kampeni za CCM uchaguzi
mdogo wa Ubunge Jimbo Dimani leo katika uwanja wa Mpira Fuoni Mkoa wa
Mjini Magharibi ,.
No comments :
Post a Comment