Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimtunuku Shahada ya
Uzamivu ya Kiswahili “DOCTOR OF PHILOSOPHY IN KISWAHILI” 2015/2016
Bw.Hussein Ali Hussein katika sherehe ya mahfali ya kumi na mbili ya
chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Tunguu Mkoa wa Kusini
Unguja (kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimtunuku Shahada ya
Uzamili ya Sayansi ya Kemia “MASTER OF SCIENCE IN CHEMISTRY”Nd.Issa Juma
Salim katika sherehe ya mahfali ya kumi na mbili ya chuo hicho
yaliyofanyika leo katika kampasi ya Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimtunuku Shahada ya
Uzamili ya Sayansi ya Mazingira “MASTER OF SCIENCE IN
ENVIROMENTAL SCIENCE” Saklim Masoud Msabaha katika sherehe ya mahfali
ya kumi na mbili ya chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya
Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja.
Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma akimkaribisha Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kutoa hutuba yake kwa
wananchi katika sherehe ya mahfali ya kumi na mbili ya chuo hicho
yaliyofanyika leo katika kampasi ya Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja.
Wahitimu wa Shahada ya Sayansi na Elimu walipotunukiwa shada yao na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika sherehe ya
mahfali ya kumi na mbili ya chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi
ya Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja.
Wahitimu wa Shahada ya Sayansi ya Afya ya Mazingira walipotunukiwa shada yao na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika sherehe ya
mahfali ya kumi na mbili ya chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi
ya Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja.
Baadhi ya Wahadhiri wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa na Kikundi cha Brass Band cha Polisi katika sherehe
ya mahfali ya kumi na mbili ya Chuo Kikuu cha Tifa cha Zanzibar SUZA
yaliyofanyika leo katika kampasi ya Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha
Zanzibar “SUZA” (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakisimama wakati
wimbo wa Taifa ukipigwa katika sherehe ya mahfali ya kumi na mbili ya
chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Tunguu Mkoa wa Kusini
Unguja.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Serikali wakisimama wakati
wimbo wa Taifa ukipigwa katika sherehe ya mahfali ya kumi na mbili ya
Chuo Kikuu cha Taifa cvha Zanzibar “SUZA” yaliyofanyika leo katika
kampasi ya Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja ambapo mgeni rasmi akiwa , Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar “SUZA”.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha
Zanzibar “SUZA” (wa pili kushoto) akifuatana na Makamo Mkuu wa Chuo
Prof. Idriss Ahmada Rai pamoja na Viongozi wengine katika Gwaride la
maandamano wakati wa sherehe ya mahfali ya kumi na mbili ya chuo hicho
yaliyofanyika leo katika kampasi ya Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja
(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma.
Baadhi ya Wahadhiri na wanataaluma wakiwa katika Gwaride
la maandamano wakati wa sherehe ya mahfali ya kumi na mbili ya chuo
hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Tunguu Mkoa wa Kusini
Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha
Zanzibar “SUZA” .
Baadhi ya wanataaluma wakiwa katika Gwaride
la maandamano wakati wa sherehe ya mahfali ya kumi na mbili ya chuo
hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Tunguu Mkoa wa Kusini
Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha
Zanzibar “SUZA” .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha
Zanzibar “SUZA” (katikati) akiwapungia mkono wananchi na wanalaaluma
alipowasili katika viwanja vya kampasi ya Tunguu ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar “SUZA”Mkoa wa Kusini Unguja leo katika sherehe ya mahfali ya kumi na mbili ya chuo hicho (wa pili kulia) Makamo Mkuu wa Chuo cha “SUZA”Prof. Idriss Ahmada Rai.
Baadhi ya wanataaluma wakisimama wakati mgeni rasmi Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar “SUZA” alipowasili katika
viwanja vya kampasi ya Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja palipofanyika Mahfali ya kumi na mbili ya Chuo hicho leo ,ambapo Wahitimu mbali mbali walitunukiwa Vyeti,Stashahada na Shahada ,[Picha na Ikulu.] 21/01/2017.
No comments :
Post a Comment