Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu
Tanzania Joyce Fissoo akitoa mchango wake mbele ya wajumbe wanaoshiriki
kikao kazi cha maandalizi ya rasimu ya sera ya filamu nchini. Katika
tiniraiswa Shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifamba.
Mwigizaji na mtayarishaji wa
filamu za kitanzania Chiki Mchoma akiwasilisha hoja kama mdau wa tasnia
ya filamu mbele ya wajumbe wa kikao kazi cha kuandaa rasimu ya sera ya
filamu nchini. Wengine kwenye picha kuanzia kulia ni Mwnyekiti wa Bodi
kuu Sylvester Sengerema, Mwenyekiti wa kikao VonavyaloLuvanda,
KatibuMtendajiwaBodiyaFilamu Tanzania Joyce Fissonaraiswashirikisho la
filamunchini Simon Mwakifwamba.
Wajumbembalimbaliwanaoshirikikikaokazi
cha kuandaarasimuya sera
yafilamunchiniwakifuatailiakwamakinihojainayowasilishwanammojawawajumbewakikaohicho(hayupopichani).
KikaohichokinafanyikamjiniBagamoyokwenyeTaasisiya Sanaa Bagamoyo
(TaSUBA).
Wasaniinawadauwatasniayafilamuwanaoshirikikikaokazi
cha kuandaarasimuya sera
yafilamuwakifurahiajambonamwandishimkongwewariwayanamiswadayafilamuAmriBawji(mwenyebaraghashia).KikaokazihichokinafanyikaukumbiwamikutanowaTaasisiya
Sanaa Bagamoyo (TaSUBA.
……………..
Kilio cha mudamrefu cha
wadauwasektayafilamunchinisasakinaelekeakupataufumbuziwakudumubaadayaBodiyaFilamu
Tanzania kuwakutanishawadau wake kwaajiliyamaandaliziya sera
mahususiitakayotoamwongozonakuendelezasektahiyonchini.
SektayafilamunchiniimekuwaikisimamiwanaSera
yaUtamaduninaSheriayaFilamunaMichezoyakuigiza Na. 4 yamwaka
1976pamojanakanunizake.Kukosekanakwa sera
mahususiyafilamunchinikuliibuachangamotombalimbali.
Changamotohizonipamojanakuwepokwafilamunamichezomingiyakuigizainayotayarishwachiniyaviwango,
kutokuwepokwamitajinauwekezajiwakutosha,sektayafilamukutoendeshwakibiashara,
kukosekanakwamifumo bora yausambazaji,
kutokuwepokwaweledinaubunifuwakutosha, uharamiawakazizafilamun.k.
ChangamotozilizoainishwahapojuuzilibainikabaadayaBodiyaFilamu
Tanzania
kwakushirikiananawadaumbalimbalikufanyatafitikuhusuhalihalisiyatasnia
(situational analysis) nakuuwasilishambeleyakikaokazi cha
wadaukilichofanyikatarehe 3 Oktoba, 2016 ukumbiwauwanjawaTaifa.
Kwenyekikaohicho, Waziri waHabari, Utamaduni, Sanaa
naMichezoMheshimiwaNape Nnauye,aliagizauongoziwaBodiyaFilamu Tanzania
nawizarayakekushirikianapamojakuhakikisha sera
mahususiyafilamuinapataikanamapemaiwezekanavyo.
Sera
hiyomahsusiyafilamunchiniinategemewakuwamwarobainiwachangamotozinzoikabilisektahiyokwamudamrefusasa.
Ikumbukwewadauwatasniayafilamunchiniwamekuwawakilalamikakukosamapatostahiliyanayotokananakazizao,
kushindwakupatamitajiyakuwawezeshakuwekezamiundombinuyakisasakwenyeuzalishajinamfumohafifuwakupambananauharamiawakazizao.
OfisiyaMawasilianonaUhusiano
BODI YA FILAMU TANZANIA
No comments :
Post a Comment