Mtafiti katika masuala ya habari
Bi. Alina Mungiu (wakwanza kulia)akijibu maswali wakati wa kikao cha
Asasi za Kiraia katika mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa
serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa ambapo alieleza jinsi
uwepo za sheria za habari na sheria za haki ya kupata taarifa
zinavyoweza kusaidia katika mapambano dhidi ya rushwa.
Mkurugenzi wa Ushirikishwaji wa
Asasi za Kiraia Bw. Paul Maasen akiongea na washiriki wa mkutano wa Nne
wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini
Ufaransa ambapo alisema serikali kutoa huduma kwa uwazi kutasaidia
kuondoa vitendo vya rushwa na uwazi.
Washiriki wa mkutano wa Nne wa
Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa
wakimsikiliza Mkurugenzi wa Ushirikishwaji wa Asasi za Kiraia Bw. Paul
Maasen
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa
Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini
Ufaransa wakishiriki katika majadiliano ya masuala mbalimbali
yanayohusiana na mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi
Mtafiti katika masuala ya
habari Bi. Alina Mungiu akitoa mada kuhusu namna asasi za kiraia na
ukuaji wa teknolojia unaweza kusaidia katika mapambano dhidi ya rushwa.
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO-PARIS (UFARANSA)
No comments :
Post a Comment