Rais wa Ufaransa Bw. François
Hollande akihutubia washiriki katika ufunguzi wa mkutano wa 4 wa mpango
wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi(OGP) katika ukumbi wa Salle Pleyel, ambapo
alisisitiza umuhimu wa wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo
na kuwataka washiriki kuja na matokeo ya hatua zilizochukuliwa katika
kushirikisha wananchi kwenye masuala ya maendeleo.
Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Rais wa Ufaransa Bw. François Hollande
Rais wa Ufaransa Bw. François
Hollande akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wapya wa mpango wa
Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi(OGP)
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya
Twaweza Bw.Aidan Eyakuze (KULIA) akishiriki katika majadiliano wakati wa
ufunguzi wa mkutano wa 4 wa mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za
Serikali kwa uwazi(OGP) katika ukumbi wa Salle Pleyel,ambapo walijadili masuala mbalimbali ya Serikali kwa uwazi nakueleza mtazamo wake juu muelekeo wa mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi(OGP).
washiriki wamjadala uliohusu masuala ya Serikali kwa uwazi nakueleza mtazamo wake juu muelekeo wa mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi(OGP) wakisalimiana mara baada ya kukamilika kwa majadiliano hayo.
PICHA NA HASSAN SILAYO-(MAELEZO) PARIS,UFARANSA
No comments :
Post a Comment