Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Nuru Millao (kulia)
akizungumza na washiriki (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa warsha
ya siku tatu ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau wa Sekta ya filamu na
michezo ya kuigiza leo Mkoani Mara. Kushoto ni Katibu Mtendaji Bodi ya
Filamu Bibi. Joyce Fissoo
Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu
Bibi. Joyce Fissoo (katikati) akifafanua jambo wakati wa ufunguzi wa
warsha ya siku tatu ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau wa Sekta ya
filamu na michezo ya kuigiza leo Mkoani Mara. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Nuru Millao na
kushoto ni Rais wa Shirikisho la Filamu Bw. Simon Mwakifwamba
Kaimu Afisa Utamaduni Mkoa wa
Mara Bw. Sheikhdadi Said (kulia) akizungumza wakati wa ufunguzi wa
warsha ya siku tatu ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau wa Sekta ya
filamu na michezo ya kuigiza leo Mkoani Mara. Katikati ni Naibu Katibu
Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Nuru Millao na
Kushoto ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fissoo
Katibu wa chama cha waigizaji Mkoa
wa Mara Bw. Jonson Bambai (aliyesimama) akichangia mada wakati wa
ufunguzi wa warsha ya siku tatu ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau wa
Sekta ya filamu na michezo ya kuigiza leo Mkoani Mara.
Mtoa mada kutoka Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam Bw. Richard Ndunguru akitoa mada ya uandishi wa miswada ya
filamu na utafiti kwa wadau wa sekta ya filamu na michezo ya kuigiza
wakati wa ufunguzi wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau hao
leo Mkoani Mara.
Baadhi ya wadau wa sekta ya filamu
na michezo ya kuigiza kutoa mkoa wa Mara wakifuatilia kwa makini mada
zilizokua zikiendelea wakati wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo
wadau wa Sekta ya filamu na michezo ya kuigiza leo Mkoani Mara.
Picha na: Genofeva Matemu – WHUSM, Mara
No comments :
Post a Comment