Friday, December 23, 2016

RAIS MAGUFULI NA WAZIRI MKUU MAJALIWA


kip1
Rais John Magufuli akiteta na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Ikulu jijini Dar es salaam, Desemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri `Mkuu)
kip2 kip3
Rais John Magufuli  akisalimiana na  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
kip4
 Rais John Magufuli akizungumza na mtoto  Doreen Ndika ambaye aliambatana na baba yake, Jaji Dkt. Gerald Ndika ambaye aliyeapishwa na Rais `Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 23, 2016 kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments :

Post a Comment