Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu mara baada ya
kutoka kwenye kikao cha pamoja kilicho wahusisha Naibu Waziri wa TAMISEMI
Selemani Jafo pamoja na Katibu Mkuu wa
TAMISEMI Mussa Iyombe Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa Rais
Samia Suluhu Hassan mara baada ya kumaliza kikao chao kilicho wahusisha Naibu
Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo pamoja na
Katibu Mkuu wa TAMISEMI Mussa Iyombe Ikulu jijini Dar es Salaam. (PICHA
NA IKULU)





No comments :
Post a Comment