Tuesday, December 6, 2016

PROF. MBARAWA AITAKA BODI YA TCRA KUPATA MWAROBAINI WA WIZI WA MTANDAO


mbarawa
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa  akizungumza na wajumbe wa bodi mpya ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), mara baada ya kuizindua rasmi, jijini Dar es Salaam.
mbarawa-1
Mwenyekiti wa Bodi mpya ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jones Kilimbe (katikati), akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kushoto), wakati wa uzinduzi wa bodi hiyo, jjini Dar es Salaam.
mbarawa-2
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Faustine Kamuzora akizungumza na bodi, menejimenti na wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), (hawapo pichani), wakati wa uzinduzi wa bodi hiyo jijini Dar es Salaam.
mbarawa-3
Baadhi ya Wakurugenzi kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (hayupo pichani), alipoongea na wafanyakazi wa Mamlaka hiyo, jijini Dar es Salaam
mbarawa-4
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), wakifurahia jambo mara baada ya uzinduzi wa bodi mpya ya Mamlaka hiyo, jijini Dar es Salaam.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano

No comments :

Post a Comment