Tuesday, December 6, 2016

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA MMALAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO

tatu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwenye ukumbi wa Ofisi za Mamlaka hiyo Desemba 6, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
tatu-1
Baadhi ya watumishi wa Mamlka ya Hifadhi ya Ngorongoro wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Ofisi za Mamlaka hiyo Desemba 6, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments :

Post a Comment