Ofisa Mauzo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Fredrick
Sawaki (kulia), akitoa maelezo kuhusu mafao yatolewayo na NSSF kwa
wananchi waliotembelea banda la shirika hilo wakati wa maonessho ya
Viwanda vya Tanzania yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius
Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Ofisa Mauzo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Fredrick
Sawaki (kulia), akitoa maelezo kuhusu mafao yatolewayo na NSSF kwa
wananchi waliotembelea banda la shirika hilo wakati wa maonessho ya
Viwanda vya Tanzania yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius
Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Ofisa
Matekelezo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Sarah
Mazengo (kushoto), akitoa maelezo kuhusu mafao yatolewayo na NSSF kwa

Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Anna
Nguzo (kushoto), akitoa maelezo kuhusu mafao yatolewayo na NSSF kwa
mmoja wa wananchi waliotembelea banda la shirika hilo wakati wa
maonessho ya Viwanda vya Tanzania yanayoendelea katika viwanja vya
Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.

No comments :
Post a Comment