Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais –
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Madereva wa
Serikali Tanzania (CMSP) mara baada ya kukutana na viongozi hao kwa
lengo la kujadili masuala ya kiutendaji ofisini kwake leo.

No comments :
Post a Comment