Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimkabidhi Kitambulisho cha Taifa cha
Wageni, Leonie Schollmeyer (kulia), wakati kiongozi huyo alipofanya
ziara ya kikazi katika Ofisi za Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
(NIDA), Zanzibar leo. Masauni licha ya kupewa elimu kuhusiana na
utendaji wa kazi wao fisihiyo, pia alizungumza na watumishi wa Mamlaka
hiyo na kuwataka kufanya kazi kwa weledi kwa kuwahudumia wananchi ili
kuiletea mamlaka hiyo mafanikio zaidi. PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad
Masauni(kulia) akifanya usafi na wanachama wa Baraza la Vijana Shehia ya
Miembeni katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar. Masauni alialikwa na
Baraza hilo kushiriki kufanya usafi nao na baadaye aliwatembelea
wagonjwa wa hospitali hiyo akiwa na Naibu Spika wa Barazala Wawakilishi,
Mgeni Hassan Juma(hayupopichani) pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Mjini,
Marina Joel Thomas (hayupopichani).
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Watumishi wa Mamlaka ya
Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Zanzibar wakati kiongozi huyo alipofanya
ziara ya kikazi ya kujifunza shughuli mbalimbali zinazofanywa na
Mamlaka hiyo. Masauni licha ya kupewa elimu kuhusiana na utendaji wa
kazi wa ofisi hiyo, pia alizungumza na watumishi wa Mamlaka hiyo na
kuwataka kufanya kazi kwa weledi kwa kuwahudumia wananchi ili kuiletea
mamlaka hiyo mafanikio zaidi.Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo,
Zanzibar, Hassan Haji Hassan.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi.
Spika wa Baraza la Wawakilishi, Mgeni
Hassan Juma (kushoto), Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye
pia ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad
Masauni(aliyevaakofia) wakimsikiliza Nesi Msaidizi Mkuu wa odi ya
Upasuaji wa Uti wa Mgongo na Kichwa katika Hopsitali ya Mnazi Mmoja,
Hadia Mmadi, wakati alipokuwa anawafafanulia kuhusu wagonjwa
wanavyopasuliwa. Viongozi hao walifanya ziara katika eneo hilo, mara
baada ya kufanya usafi mazingira mbalimbali ya hospitalin ihapo. PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(watatu kushoto mstari wa mbele), Kaimu
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Zanzibar, Hassan
Haji Hassan (watatu kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Watumishi
wa Mamlaka hiyo, mara baada ya Masauni kumaliza ziara yake ya kikazi
kuitembelea Mamlaka hiyo. PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi.
NaibuWaziriwa Mambo yaNdaniyaNchi,
ambayepianiMbungewaJimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad
Masauni(aliyevaakofia) akiwakatikapichayapamojanaWanachamawaBaraza la
VijanaShehiayaMiembeni, Kikwajuni, Zanzibar,
marabaadayakumalizakufanyausafikatikamaeneombalimbaliyaHospitaliyaMnaziMmoja.
VijanahaowalimwalikaMbungewaoiliwajumuikenayekatikakuwekasafizaidimazingirayaHospitalihiyo.
PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi.
No comments :
Post a Comment