Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya mkoa wa Arusha
kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha, Desemaba 18, 2016.
Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza katika kikao cha majukmuisho ya ziara yake ya mkoa wa Arusha
kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha, Desemaba 18, 2016.
Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na kulia ni Mwenyekiti
wa CCM wa mkoa wa Arusha, Lekule Laiza.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wabunge wa Arusha wakifurahia
hotuba ya majumuisho ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ya kuhitimisha
ziara yake ya mkoa huo kwenye ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,
Desemba 27, 2016. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Arumeru Magharibi,
Gipson Mesiek, Mbunge wa Viti Maalum Amina Mollel na Mbunge wa Arumeru
Mashariki, Joshua Nasari. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya Wenyeviti wa
halmashauri za mkoa wa Arusha wakisikiliza kwa makini hotuba ya Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa ya majumuisho ya ziara yake ya mkoa huo kwenye
ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Desemba 18, 2016. 9Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Arumeru Mashariki,
Joshua Nasari, akionyesha ishara ya kukubaliana na maneno ya Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipotoa hotuba ya majumuisho ya ziara
yake mkoani Arusha kwenye ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Desemba 28,
2016. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Amina Mollel.(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Meya wa jiji la Arusha, Mstahiki Kalisti Lazaro
(wapili kulia) na wabunge wa upinzani waliohudhuria katika mkuano wake
wa ajumuisho ya ziara ya mkoa wa Arusha kwenye ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa
Arusha Desemba 28, 2016. Wengine kutoka kushoto ni Mbunge wa Arumeru
Magharibi, Gipson Mesiek, Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga na Mbunge wa
Arumeru Mashariki, Joshua Nasari. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Meya wa jiji la Arusha,Mstahiki,Kalisti Lazaro (kulia)
baada ya kumaliza mkutano wake wa majumuisho ya ziara ya Arusha kwenye
ukumbi wa Mkuu wa mkoa wa Arusha, Desemba 18, 2016. Wapili kushoto ni
Mbunge wa Arumeru Magharibi, Gipson Mesiek na wapili kulia ni Mbunge wa
Monduli, Julius Kalanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (kushoto) wakizungumza na
Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga (wapili kulia) na Mwenyekiti wa
halmashauri ya wilaya ya Monduli, Isaac Joseph (kulia) baada ya Waziri
Mkuu kumaliza kikao cha majumuisho ya ziara yake mkoani Arusha kwenye
ukumbi wa Mkuu wa mkoa huo, Desemba 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments :
Post a Comment