Saturday, December 31, 2016

DK.SHEIN AFANYA MAHOJIANO NA MKURUGENZI MKUU WA ZBC LEO

dui

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akifanya mahojiano na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Bibi. Imane O.Duwe katika ukumbi wa Ukulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 31 Disemba 2016

No comments :

Post a Comment