Wananchi wakiaungali Mwili wa Mtu
ambaye jina lake alikuweza kupatikana mara moja umekutwa umekufa kwa
kifo cha kutatanisha chini ya mto Ng’ombe daraja la chuo Kikuu Ubungo
jijini Dar es Salaam leo, chanzo cha mauaji hayo akijafahamika.
Mwili wa mtu aliyekutwa amekufa eneo la mto Ng’ombe daraja la chuo Ubungo jijini Dar es Salaam.
Wananchi wakiaungali Mwili wa Mtu
ambaye jina lake alikuweza kufahamika mara moja uliokutwa umekufa kwa
kifo cha kutatanisha jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment