Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tamisemi) George Simbachawene, akisalimiana na
Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilson Mukama, baada
ya kuwasili Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kufunga mafunzo ya
uongozi na maadili ya vijana wazalendo 47 yalifungwa chuoni hapo Dar es
Salaam leo. Kulia ni Samuel Kasori, aliyekuwa Msaidizi wa Hayati Baba wa
Taifa ambaye alipata fursa ya kuzungumza katika hafla hiyo kuhusu suala
zima la maadili ya uongozi na uzalendo.
Kikao kifupi kikifanyika ofisini kwa mkuu wa chuo hicho kabla ya kwenda ukumbini.
Wanafunzi wa chuo hicho wakiwa ukumbini kwenye hafla hiyo.
Wimbo wa Taifa ukiimbwa
Kikao kifupi kikifanyika ofisini kwa mkuu wa chuo hicho kabla ya kwenda ukumbini.
Wanafunzi wa chuo hicho wakiwa ukumbini kwenye hafla hiyo.
Mgeni
rasmi Waziri Simbachawene (wa pili kushoto) na viongozi wengine
wakielekea ukumbini. Kutoka kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Filbert
Sanga, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam,
Ramadhan Madabida, Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Wilson Mukama na Mkuu wa
Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Profesa Shadrack Mwakalila.
Wimbo wa Taifa ukiimbwa.Wimbo wa Taifa ukiimbwa
MAJALIWA ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA MAGOMENI KOTA
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mshauri wa
Wakala ya Majengo Tanzania (TBA), Edwin Nnuduma kuhusu Mradi wa Ujenzi
wa Nyumba, Magomeni Kota jijini Dar es salaam wakati alipotembelea
mradi huo Novemba 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

mradi huo Novemba 18, 2016. Wapili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Kinondoni,
Ally Happy.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UHOLANZI NA UMOJA WA FALME ZA KIARABU, JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akimfafanulia jambo Balozi
wa Uholanzi nchini, Jaap Frederiks (katikati) wakati Balozi huyo
alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya
kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na
Uholanzi. Kulia ni Eugene Gies ambaye ni Katibu wa Uchumi na Sera za
Biashara wa Ubalozi huo nchini. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (katikati) akimsikiliza
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Simba Yahya alipokuwa
anamfafanulia jambo Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu, Abdulla Ibrahim
Alsuwaidi (kulia) alipomtembelea Waziri Mwigulu ofisini kwake, jijini
Dar es Salaam kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano
kati ya nchi hizo mbili. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (katikati) akimsikiliza
Balozi wa Uholanzi nchini, Jaap Frederiks alipokuwa anamfafanulia jambo
Waziri huyo ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, walipokuwa
wanajadiliana masuala mbalimbali ua ushirikiano kati ya Tanzania na
Uholanzi. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Simba
Yahya. Kulia ni Katibu wa Uchumi na Sera za Biashara wa Ubalozi huo
nchini, Eugene Gies. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
No comments :
Post a Comment