MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHIMIZA MATUMIZI YA TAKWIMU SAHIHI ILI KUHARAKISHA MAENDELEO
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
(aliyevaa joho jekundu), akiwa nje ya Ofisi Kuu ya Chuo cha Takwimu
Mashariki mwa Afrika (EASTC) kilichoko Changanyikeni Jijini Dar es
salaam, wakati wa Mahafali ya Pili ya Chuo hicho ambapo wahitimu 154
kutoka nchi nane Barani Afrika wametunukiwa Astashahada na Shahada za
Takwimu Rasmi zinazotolewa na chuo hicho.
Askari
wakipandisha bendera za mataifa mbalimbali ya Kiafrika ambazo wanafunzi
wake wamehitimu astashahada na Shahada katika Chuo cha Takwmimu
Mashariki mwa Afrika (EASTC) kilichoko Changanyoike Jijini Dar es
salaam, wakati wa Mahafali ya Pili ya Chuo hicho ambapo wahitimu 154
kutoka nchi saba Barani Afrika wametunukiwa Astashahada na Shahada za
Takwimu Rasmi zinazotolewa na chuo hicho.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akiwatunuku Astashahada na Shahada za Takwimu Rasmi wahitimu 154 kutoka
nchi nane barani Afrika wakati wa Mahafali ya Pili ya Chuo cha Takwimu
Mashariki mwa Afrika (EASTC) kilichoko Changanyikeni Jijini Dar es
salaam, wakati wa Mahafali ya Pili ya Chuo hicho.

(kulia) na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb),
wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya makamu wa Rais kuwatunuku vyeti
wahitimu 154 kutoka nchi nane za bara la Afrika waliohitimu Astashahada
na Shahada za Takwimu Rasmi zinazotolewa na Chuo cha Takwimu Mashariki
mwa Afrika (EASTC) kilichoko Changanyikeni Jijini Dar es salaam, wakati
wa Mahafali ya Pili ya Chuo hicho yaliyofanyika chuoni hapo.
ARSENAL YALAZIMISHA SARE NA MANCHESTER UNITED DAKIKA ZA MWISHO
Goli la kusawazisha la Olivier
Giroud la dakika ya 89, limeipatia Arsenal pointi moja na kuinyima
Manchester United ushindi ambao walikuwa wakishahili kuupata katika
dimba la Old Trafford.
Katika mchezo huo Juan Mata
aliifungia Manchester United goli la kwanza kwa shuti la guu la
kushoto, akiunganisha pasi ya Ander Herrera katika dakika ya 68.
Arsenal walikuwa hawajafanya
jitihada zozote makini za kutafuta goli walijikuta wakisawazisha goli
hilo kupiti Giroud aliyeunganishwa kwa kichwa krosi ya Alex
Oxlade-Chamberlain.
Kipa Petr Cech akiwa hana la kufanya baada ya kushindwa kuzuia shuti la Juan Mata
Mshambuliaji Oliver Giroud akiwa ameruka juu na kupiga mpira kwa kichwa uliosawazisha goli
ABIRIA 10 WANUSURIKA KIFO BAADA YA BASI LAO KULIPUKA MOTO KENYA
Abiria wapatao 10 wamenusurika kifo
baada ya basi walilopanda la Lamu kulipuka moto katika eneo la Gamba
kwenye Kaunti ya Lamu Mkoa wa Mombasa nchini Kenya.
Hata hivyo mizigo yao yote
iliyokuwamo kwenye basi hilo la kampuni ya Tahmeed, iliteketea kwa
moto katika tukio hilo.
Kwa muijibu wa abiria, tukio hilo
limetokea wakati wakielekea Mombasa kutokea Lamu, ambapo awali basi
hilo lilipata hitilafu na baadhi ya abiria wakamishiwa kwenye basi
lingine.
MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AFUNGA MAFUNZO YA MGAMBO KUNDI LA 54/16
Mkuu
wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva (wa katikati) akizungumza jambo
wakati akifunga mafunzo ya Mgambo kundi la 54/16 yaliyofanyika viwanja
vya JKT Mgulani Dar es Salaam, ambapo 482 wamehitimu Mafunzo hayo,
kulia ni Kaimu Kamanda Kikosi cha 831 KJ Mgulani JKT Meja, Dorah Kawawa
na Luteni, Nelson Ponera
No comments :
Post a Comment