Balozi wa Finland nchini Bw.
Pekka Hukka akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa alipomtembelea ofisini kwake jijini
Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akizungumza na ujumbe kutoka Finland
kuhusu fursa mbalimbali zilizo kwenye Sekta ya miundombinu
ulipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu
Mkuu wa Sekta ya Uchukuzi Dr. Leonard Chamuriho
Waziri wa Biashara za Nje na
Maendeleo kutoka Finland, Kai Mykkanen (kulia), akifafanua jambo kwa
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa
(katikati), wakati ujumbe huo ulipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es
Salaam.
Ujumbe kutoka Finland
ukimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame
Mbarawa wakati ulipomtembelea ofisini kwake kujadili fursa mbalimbali za
Sekta ya Miundombinu.
No comments :
Post a Comment